2 Chronicles 10:17-19

17Lakini kwa habari ya Waisraeli waliokuwa wakiishi katika miji ya Yuda, Rehoboamu akaendelea kuwatawala bado.

18 aMfalme Rehoboamu akamtuma Adoniramu
Kiebrania ni Hadoramu.
aliyekuwa msimamizi wa wale waliofanya kazi ngumu kwa kulazimishwa, lakini Israeli wote wakampiga kwa mawe hadi akafa. Hata hivyo, Mfalme Rehoboamu, akafanikiwa kuingia kwenye gari lake na kutorokea Yerusalemu.
19 cHivyo Israeli wakaasi dhidi ya nyumba ya Daudi hadi leo.
Copyright information for SwhKC